Jeshi la polisi wilaya ya Monyoni mkoani Singida linawashikilia vijana watatu waliokuwa wakisafiri kwa kutumia ungo kutoka katika kijiji cha Kinika kata ya Mkwese wilayani Manyoni kuelekea mkoani Mbeya na kuanguka karibu na kituo hicho. Vijana hao wanashikiliwa na polisi kwa kufanya biashara ya uchawi. Wanasingida wanasema hawa in wachawi na wailkuwa wafanya matukio mbalmbali ya kichawi
