Propellerads

Friday, September 23, 2016

mpoma

AJALI YATOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO MOROGORO

PropelleradsKuna ajali ya Basi la BM imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Mikese Morogoro. Basi limegongana na gari lingine na kutumbukia kwenye Korongo.

Walio na taarifa kamili au picha tusaidiane katika kuhabarisha hii ajali.

================


Waliokufa ni wawili na majeruhi 43.

Chanzo ni mwendo kasi. Sababu kuna gari lilikuwa limeharibika limeegeshwa pembeni. Kukawa kuna semi trailer inatoka Moro uelekeo DSM ikawa inalipita hilo gari lililoharibika. Kabla halijamalizika kulipita, BM ikawa imefika hapo ndio ikaingia katikati ya trailer.

Ajali hii ni ya jana tokea saa nne kasoro usiku.
ajali.jpg IMG-20160123-WA0024.jpg IMG-20160123-WA0023.jpg IMG-20160123-WA0022.jpg IMG-20160123-WA0021.jpg KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :