ANGALIA PICHA ZA AJALI MBAYA ZILIZOTOKEA ASUBUHI YA LEO
Toyota Coaster T 916 BQE ikiwa imetumbukia mtaroni maeneo ya Sinza Mapambano.
Ajalli mbaya zimetokea asubuhi hii maeneo ya Sinza Mapambano na baada ya gari kubwa (coaster) kuigonga gar ndogo (teksi) na kuingia mtaoni. Hakukuwa na watu walioumia vibaya.
Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva peke yake ambaye hakuumia sana.
Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva peke yake ambaye hakuumia sana.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.