EDWARD Lowassa Ampongeza Rais John Pombe Magufuli
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amempongeza Rais Magufuli kwa kuondoa urasimu katika taasisi za serikali na kusema hiyo itasaidia kurejesha utendaji kazi kwa ufanisi.Lowassa ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na mtangazaji...
