mkuu wa chuo akiwa na wanachuo wa chuo cha Laurent computer centre wakiwa katika moja ya ziara katika mkoa wa Dodoma baada ya kutoka kutembelea chuo cha veta Dodoma kujifunza kwa vitendo Zaidi. Hapa walikuwa katika katika eneo la nyerere squre katika mkoa wa Dodoma
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
