Lowassa atua Kagera, mabomu yarindima
Na ELIYA MBONEA-KAGERA WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema Watanzania wengi bado hawajajua uzito, upana na athari kubwa za tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera na kuua More...
JOHANES RESPICHIUS NA FERDNANDA MBAMILA- DAR ES SALAAM MFUKO wa Pensheni (PPF) umeanza kufanya uhakiki wa wanachama wake waliofikia umri wa kustaafu ili kuwatambua wanaostahili More...NHIF: Gharama mpya za matibabu Desemba
Na JONAS MUSHI – DAR ES SALAAM MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) utatangaza gharama mpya za matibabu kwa wanachama wa mfuko huo wanaohudumiwa na hospitali zenye mkataba. Gharama More...Kinyongo kinasababisha kansa
*Daktari wa Marekani asema asilimia 61 ya magonja ya kansa ni matokeo ya kushindwa kusamehe VERONICA ROMWALD Na HERIETH MANDARI – DAR ES SALAAM UTAFITI uliofanywa nchini More...
Serikali kuanisha vitovu vya matetemeko nchini
Na BENJAMIN MASESE, SERIKALI imewaagiza Watalaamu wa Jiolojia Tanzania (GST) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kufanya utafiti wa kina juu ya tetemeko la ardhi lilitokea mkoani More...Mwalimu jela kwa rushwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Bukombe mkoani Geita imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Umoja, Daniel Nyingati kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh milioni 1.6 baada More...CUF kugharamia matibabu ya Maalim Seif
Katibu Mkuu wa chama chao, Maalim Seif Sharif Hamad. Na Muhamed Khamis (UoI), ZANZIBAR WANACHAMA wa Chama cha Wananchi (CUF) More...Dk. Shein awapa somo wakulima wa karafuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. Na Mwandishi Wetu-PEMBA RAIS wa Zanzibar More...
Yanga wafuata nyayo za Simba
Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM BAADA ya kusikia watani zao wa jadi, timu ya Simba wameamua...
Mwambusi aibukia African Lyon
Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM JINA la kocha msaidizi wa timu ya Yanga, Juma Mwambusi, limeonekana...
Simba yaivutia kasi Yanga kwa Majimaji leo
Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Tanzania Bara inatarajia kuendelea leo katika viwanja tofauti,... Askofu Kwangu ashauriwa kujiuzulu
Na MASYENENE DAMIAN-MWANZA WACHUNGAJI, wahudumu na walei wa Kanisa More...Morocco yajisalimisha AU
RABAT, KATIKA kile kinachoonekana kutafuta nguvu ya mshikamano wa pamoja, Serikali ya Morocco imewasilisha More...Syria bado yawavuruga Urusi, Marekani
NEW YORK, Marekani JUHUDI zinazofanywa na Serikali ya Marekani na Urusi za kusitisha mapigano ya muda mrefu nchini Syria zinaelekea kukwama..MTOTO WA MIAKA 6 APATA HESHIMA YA KIPEKEE KUTOKA KWA OBAMA
New York, Marekani Mtoto Alex (6) wa New York, Marekani amepata heshima ya kipekee kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama..Wabunge wachangia milioni 85/- Kagera
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai. Na MAREGESI PAUL, DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amesema wabunge wamechanga More...Zungu amwomba radhi Mbowe
Na Maregesi Paul, Dodoma MWENYEKITI wa Bunge, Mussa Zungu, amemwomba radhi Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, baada..Tatizo la umeme Lindi, Mtwara laanza kutatuliwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeanza kutatua changamoto za umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa kuiunganisha mikoa hiyo kwenye..Benki ya NMB yaja na mpango wa Wajibika
Na Mwandishi Wetu,DAR ES SALAAM WAZAZI na walezi wengi wamekuwa wakikumbana na changamoto kadhaa ikiwemo mzigo wa ada kwa wanafunzi, ambapo.. Rais Magufuli nenda kawatembelee Kagera
NA PETER MITOLE, KUNA uwezekano kuwa wito ninaoutoa kupitia safu hii leo ukawa unausoma ukiwa umepitwa na wakati. Hii ni kwa..
Anakutesa, anakusaliti kwanini unamganda?
KUNA baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano ambayo wanajua fika hayana faida kwao, lakini wapo tu. Kila kukicha ni kulalamika, lakini..
Uchawi ni kujiongeza tu!
Na JOSEPH SHALUWA VICHEKESHO vya makomediani maarufu Bongo, Mussa Yusuph ‘Kitale’ maarufu zaidi kama Mkude Simba na Stan Bakora ni tishio..
Anakutesa, anakusaliti kwanini unamganda?
KUNA baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano ambayo wanajua fika hayana faida kwao, lakini wapo tu. Kila kukicha ni kulalamika, lakini..


















