MARA NYINGI MWANZILISHI WA UPENDO/NDOA NI MWANAUME KWANI NDIYE ANAYEMTAFUTA MWENZA, LAKINI KWA SABABU WANAWAKE WENGI (SIO WOTE)WANAWEZA KUFICHA UHALISI WAO NA KUVAA UHALISIA WAA MUDA WANAHARIBU MAHUSIANO/NDOA KWANI WAZUNGU HUSEMA "FACT IS FACT ALWAYS" NASEMA HIVYO KWA SABABU NA MIMI YAMENIKUTA JAPO SIJAWAHIMKUONA MWANAMKE MKOROFI NA MWENYE KIBURI KM HUYU. HAPENDI NDUGU, MAAMUZI YA MUME HAYAHESHIMU, MARAFIKI WA MUMUE HATA KAMA NI WABAYA BASI, HAWAPENDI. ANATAKA ANACHOKITAKA YEYE. AKISEMA PIGA UPIGE WAKATI HUO HUO, FUKUZA UFUKUZE WAKATI HUOHUO, FANYA LOLOTE UFANYE WAKATI HUOHUO, UKISUBIRI ILI UTAFAKARI HATAKI NA MARA NYINGI ANASUSA. KWA UJUMLA MAISHA MAZURI YANATEGEMEA MWANAMKE AWE NA BUSARA KTK MAMBO YOTE, NA HATA BIBLIA INASEMA "MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NYUMBA YAKE MWENYEWE NA MWANAMKE MWENYE BUSARA HUIJENGA NYUMBA YAKE MWENYEWE"KWA NINI ASIAMBIWE MWANAUME? MUNGU ALIJUA WANAWAKE WANA UDHAIFU KTK MAHUSIANO HATA AKAMWAMBIA MWANAUME KUWA MTAISHI NA WAKE ZENU KWA AKILI. SISEMI HIVYO KWA KUWA MIMI NI MWANAUME LA! LAKINI NDIVYO MAMBO YALIVYO.WATU WENGI TUNAWALAUMU WANAUME KWA KUWA WANAWAPIGA/WAUA WAKE ZAO BILA KUJIULIZA KWA NINI WANAFANYA HIVYO, WANAFANYA HIVYO KWA SABABU WAO NDIO WALIKUWA WA KWANZA KUMPENDA MWANAMKE WAKIDHANI BAADA YA HAYO YALE ALIYOKO AKILINI (MAENDELEO)YATAANZA KUPATIKANA BADALA YAKE YANATOWEKA MOJA BAADA YA JINGINE. KUSEMA UKWELI WANAUUME KABLA HATUJAOA TUNAKUWA NA MIPANGO MINGI YA KUENDELEZA FAMILIA TOFAUTI NA WANAWAKE. MAENDELEO YA NYUMBANI HAYAPANGWI NA MWANAMKE BALI YANASIMAMIWA NAE.WANAUME WANA MIPANGO MINGI YA MAENDELEO LIKIWEPO LA KUWATUNZA HATA WAZEE NA KUENDELEZA MIJI YAO. KINACHOSHANGAZA BAADA YA KUOA, MWANAMKE HUANZA KUPANGUA MOJA BAADA YA JINGINE NA HAPO NDIPO AONEKANAPO KUWA NI MKOROFI. KUENDELEZA UPANDE WA KIKENI SIO JAMBO LA KULAZIMISHWA KWA WANAUME KWANI MARA NYINGI WANAWAKE HUPENDA MAENDELEO YAANZE KWAO BILA KUJUA/WAKIJUA KAKA ZAO WAKIFANYA HIVYO KWA MAWIFI ZAO WAO NDIO WA KWANZA KULUMBANA NA MAWIFI. KIMSINGI PAULO KTK BIBILIA ALILIONA HILI KUWA NI SHIDA NA AKASHAURI NI HERI KILA MTU AKAE MWENYEWE LAKINI KWA KUWA MIILI YETU HUTAMANIANA BASI KILA MMOJA NA AWE NA MWENZI. NAJUA KILA UPANDE UTAVUTIA KWAKE LAKINI KM ULIVYOAINISHA MAJUKUMU, MWANAUME NI KICHWA JAPO SIO WOTE NA UDHAIFU WA MMOJA USICHUKULIWE KM WOTE NDIVYO WALIVYO (KUWAONA WAMAUME/WANAWAKE WOTE NDIVYO WALIVYO)
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
