
Nashukuru kila ripota wa nguvu ambae amekua akitoa ushirikiano wa kutuma chochote anachokutana nacho mbele yake na hii ni baada ya millardayo.com na AyoTV kutangaza namba rasmi ya Whatsapp na email ili kupokea matukio mbalimbali ambayo mara nyingi hayafiki kwenye vyombo vya habari sababu ya upatikanaji.
Maripota wa nguvu kwenye hii post ni Easter, Shija Cash Money pamoja na Beka Mtanzania wote hawa wa Kahama ndio wamehusika kutuma hizi picha na taarifa kuhusu ajali ya basi iliyotokea leo asubuhi.





Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.








