Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza to Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace ktk kijiji cha Hungumalwa Mwanza na kusababisha vifo ya watu 11 asubuhi hii.
Basi lilikuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na Hiace ilikuwa inatoka kijijini Shilima Mwanza wakakutana kwenye T, Basi lilikuwa kwenye Highway na Hiace ilikuwa kwenye barabara ndogo.
