Usiku wa August 31 ilikuwa ni usiku wa uzinduzi wa video ya wimbo wa Yamoto Band kutoka kwa Yamato Band iliyo chini ya ‘Mkubwa na Wanawe’ uliofanyika pale Maisha Club. Video imefanywa na Pablo na audio imefanywa na producer wao wa siku zote Shirko. Hizi ni picha za uzinduzi huo.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
