Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera usiku wa saa tano September 11 2016 wametoneshwa kidonda baada ya tetemeko dogo kutokea ikiwa ni saa kadhaa baada ya tetemeko jingine lililoua watu 16.
Baada ya tetemeko la pili ambalo bado madhara yake hayajaripotiwa, baadhi ya watu wametoa magodoro yao nje wakihofia kutokea tena kwa tetemeko jingine usiku huu na likawakuta ndani ya nyumba.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
