Propellerads

Sunday, October 30, 2016

mpoma

aibu niliyoipata kesho

Propellerads

Jaman hiki kiitwacho wadudu wanaonyevuanyevua a.k.a ny-ge ni hatari na yanaweza kukudhalilisha yamenikuta mwenzenu.

mi naishi sinza nyumba ya tatu baada ya hotel ya vatcan city nimepanga kwa mama mmoja maaruf kama mama k------- kiukwel kati ya wapangaji 6 wa bi mkubwa huyu mi ndo nilikuwa mfano wa kuigwa kwa tabia ya kujiheshimu kwa kutoingiza wanawake ovyovyo kama jamaa wawili wa vyumba vya uwani na madada wa chumba cha mbele wanaosifika kwa kuingiza wanaume waziwazi.

basi jioni ya Jana nlikuwa ktk hali ya mwili kutamani tendo kupita kiasi na kwa bahati nzuri hapa mtaani hii nyumba nnayokaa ndiyo maarufu kwa majirani kuja kuchota maji,saaasa si ndo nkamuona msichana mmoja huwa napewa sifa zake kwamba ana roho nzuri sana pia nlishamshuhudia Mara kadhaa akitoka ktk vyumba tofauti vya jamaa wa vyumba vya uani hivyo nami nkaadhimia kuua tembo kwa ubua nkamwomba awe mgeni wangu akaniambia nimuandalie castle light 3 ataingia saa NNE nne hivii.

basi ilipofika saa nne bint akaja tukaingia zetu ndani,akapiga zake bia mi kwa kawaida situmii kilevi.basi mida ya kama saa 6 usiku tukaanza mambo yetu sasa katikati ya shughuli mwenzangu akaanza kunifinya nikajua ndo mizuka yake tu,Mara akaanza kutoa sauti ya kuinguruma mi nkajua ndo utamu umekolea nkawa naendelea tu,akaanza kunipiga makofi ya mgongo la kwanza nkaona kawaida la Pili nkasema isiwe tabu nkashuka,kumbe binti ana mashetani bwana akanisogelea na kuanza kunikamata kichwa na kunigongeza ukutani mi nlikuwa nagugumia kimyakimya nikihofia kuwaamsha watu watajua nimeingiza mwanamke.

akaendelea kunigongeza nikaona ataniua nikapiga kelele wapangaji wote na familia ya mwenye nyumba wakaamka.wakafanikiwa kuvunja mlango na kutukuta tukiwa uchiii huku mi nimekabwa na msichana akiongea lugha isiyoeleweka.

heshima yangu niliyoijenga imeharibiwa kwa siku moja tu kisa ny-g- mtaa mzima nimekuwa tangazo.

wanaume wenzangu ogopeni kuvamiavamia wanawake msiowajua vizuri mtaaibika







KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :