Ajali ya ndege yaua maafisa EU
Watu WATANO wamefariki baada ya ndege iliyobeba maafisa wa Umoja wa ULAYA kuanguka katika uwanja wa ndege katika kisiwa cha MALTA.
Mashuhuda wanasema ndege hiyo imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kwenye uwanja wa ndeg wa LUQA ikielekea katika mji wa MISRATA nchini LIBYA.
Kufuatia kuanguka kwa ndege hiyo uwanja wa ndege wa kimataifa wa MALTA umefungwa kwa muda hadi mabaki ya ndege hiyo yatakapoondolewa.