MTIZAME HAPA MTOTO MWENYE MAAJABU YA KUTISHA DUNIANI.
Hadi sasa anauwezo wa kunyanyua vitu vyenye uzito mara mbili ya uzito wake, na ndoto zake ni kuja kuweka rekodi ya kunyanyua vitu vizito akiwa na umri mdogo.
Jake amefanikiwa kuweka rekodi ya mashindano kadhaa ya kunyanyua vitu vizito kwa watu wa umri wake, ikiwemo ‘Powerliftng Bench Press Championships’ iliyofanyika York, Pennsylvania.