Stori: Shakoor Jongo
ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) chini ya Global Publishers, safari hii iko kimataifa zaidi ambapo wiki iliyopita ilitua huko Hong Kong, China na kunasa ufuska wa wanawake wa Kibongo wanaokwenda nchini humo kwa kigezo cha biashara kumbe wanakwenda kuuza miili. Baadhi ya mastaa wa Bongo wakikata mauno nchini China. OFM ilipata taarifa kutoka kwa chanzo chake ndipo ikatuma kachero wake nchini humo na kujionea vitu vinavyochafua taswira ya Tanzania nje ya nchi hasa China kama wanadada hao…