Image copyrightLAURA SEGALL / AFPImage captionZaidi ya wamarekani milioni 100 million wanapiga kura kuamua kwa kura ni nani atakayekuwa rais wao ajaye wakisimama kwenye misururu mirefuImage copyrightJUSTIN SULLIVAN / GETTY IMAGESImage captionMgombea wa Democratic Hillary Clinton akisalimiwa na wafuasi wake pamoja na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, baada ya kupiga kura eneo la Chappaqua, New York. Kura za maoni za kitaifa zinampa ushini wa asilimia nne zaidi ya mpinzani wake wa Republican Bwana Trump.Image copyrightEVAN VUCCI / APImage captionMgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump pia alipiga kura yake na mkewe mjini New York. Wagombea wote walilenga majimbo muhimu Jumatatu, ambapo walielekezamikutano yao ya kampeni katika majimbo ya North Carolina, Pennsylvania na Michigan.Image copyrightMIKE NELSON / EPAImage captionMjini Los Angeles, California, mtoto mmoja wa kike akisubiri wa utulivu huku mama yake ikipiga kura.Image copyrightMARIO ANZUONI / REUTERSImage captionFabio Alvarado, mwenye umri wa miaka 91, mwenye asili ya El Salvador aliyeapishwa kuwa raia wa marekani katika siku ya uchaguzi akiwasili na mkewe Marta,mwenye umri wa miaka 80, kupiga kura zao kwenye ofisi ya msajiri wa kaunti ya LA Counti mjini Norwalk, California.Image copyrightJEFF SWENSEN / GETTY IMAGESImage captionKatika Chuo Kikuu cha kitaifa cha Penn mmoja wa wafuasi wa Trump akitumai kuwashawishi watu kumpigia kura TrumpImage copyrightRALPH FRESO / GETTY IMAGESImage captionMfuasi wa Hillary Clinton Jorge Mendez of Glendale, Arizona akiwa amevaa gauni na sanamu ya Hillary Clinton kuonmyesha ni nani anayemuunga mkonoImage copyrightRANDALL HILL / REUTERSImage captionWamarekani wanachagua pia wajumbe wa baraza la Congress. Wajumbe wa baraza la wawakilishi -kwa sasa linadhibitiwa na Republican - wanataka kulichukua tena ,na pia theluthi moja ya viti vya seneti ambayo pia iko mikonono mwa Republican.Image copyrightSHELBY LUM/RICHMOND TIMES-DISPATCH VIA APImage captionMajimbo yote 50 na Washington DC yanapiga kura katika kipindi cha masaa sita tofautiImage copyrightLARRY W SMITH / EPAImage captionMpiga kura katika jimbo la Kansas akijiandaa kupiga kura yake katika jimbo ambalo chama Republical kimekuwa kikishinda kila mwaka tangu 1968.Image copyrightCHARLES MOSTOLLER / REUTERSImage captionWamarekani zaidi ya Milioni 46 million - walipiga kura yao mapema kwa njia ya posta ama katika vituo vya kupigia kura.Image copyrightAUSTIN ANTHONY / DAILY NEWS VIA APImage captionKwa baadhi kauli za kinyama baina ya wagombea wawili zimewafanya wajihisi kukata tamaa ya kupiga kuraImage copyrightMARY ALTAFFER / APImage captionKabla ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura waandishi wa habari walianza kukusanyika katika eneo la mkutano wausiku wa mgombea wa Republican Donald Trump mjini New York.Image copyrightAFPImage captionWakati bendera ya Marekani ikipepea kote mjini kujiandaa kwa ajili ya mkutano wa kampeni wa Bi Hillary ClintonImage copyrightBART MAAT / EPAImage captionUmuhimu wa uchaguzi si tu kwa wamarekani . nchini Uholanzi watu wanapiga picha na masanamu ya wagombea wa urais Hillary Clinton na Donald Trump.Image copyrightMICHAEL CONROY / APImage captionNchini Marekani kwenyewe huku matokeo ya awali yakiendelea kutolewa, watu wanakusanyika kuonyesha uunganji mkono wao kwa wagombea walio wachagua , hapa ni katika usiku wa uchaguzi katika jiji la ndianapolisImage copyrightJUSTIN LANE / EPAImage captionHuku mfuasi wa Clinton akionyesha furaha yake.Image copyrightMARK WALLHEISER / GETTY IMAGESImage captionMoja ya majimbo muhimu ni Florida, ambako upinzani ulikuwa mkali na idadi ya kura za wagombea ilikaribiana sana lakini hatimae Bwana Trump alishinda.Image copyrightJULIO CORTEZ / APImage captionNje ya kituo cha Rockefeller Center- New York watu walisimama kuangalia habari za matokeo kwenye screen...Image copyrightSAUL MARTINEZ / REUTERSImage captionWakati huo huo katika eneo la Brooklyn Borough wafuasi wa Hillary Clinton walikusanyika kushuhudia matokeoImage copyrightCHIP SOMODEVILLA / GETTY IMAGESImage captionWafuasi wa Trump katika mkutano wa Trump wakifuatilia matokeo yaliyoonyesha mgombea wao akifanya vema.Image copyrightCARLOS BARRIA / REUTERSImage captionHuku katika mkutano wa Clinton hali ikiwa ya wasi wasiImage copyrightJEFF SWENSEN / GETTY IMAGESImage captionKatika Chuo Kikuu cha kitaifa cha Penn mmoja wa wafuasi wa Trump akitumai kuwashawishi watu kumpigia kura Trump
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
About mpoma
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.