Propellerads

Sunday, November 6, 2016

mpoma

MATUKIO YA FIESTA 2016 DAR .CHID BENZ AIBUKIA

Propellerads


Ikiwa imetimia ile sku ya Show kubwa iliyotarajiwa na wa Tanzana wengi "Fiesta" nimekuwe...
 ZIMETOKA LIST ZA NCHI 10 ZENYE UCHUMI UNAO KUWA KWA KASI ZAIDI KATIKA NCHI ZINAZOENDELEA..TANZANIA NDANI
 RAIS MAGUFULI AUNGANA NA RAIS KENYATTA WA KENYA KUOMBOLEZA KIFO CHA MKE WA RAIS MSTAAFU MAMA LUCY KIBAKI
 Afisa Mkuu wa Jeshi la Burundi Ameuawa Pamoja na Mkewe Baada ya Kushambuliwa na watu wasiojulika......
Ikiwa imetimia ile sku ya Show kubwa iliyotarajiwa na wa Tanzana wengi "Fiesta" nimekuwekea picha zote za kwenye matukio ya kwenye show hiyo.Fiesta hiyo ambayo imepambwa na wasanii wengi kutoka BONGO na wasanii wa Nigeria Yemi Alade, Tekno na msanii wa Uganda Joseph Chameleon.


Wasanii wengine wakubwa kutokea Tanzania ni Roma, Stamina, Rayvany,jux, madee, chege, nandy, maua barnaba na wengine kibao.

TAZAMA PICHA HAPA
Msanii Nandy hotmaker wa "Nagusagusa" akifanya yake jukwaani




Maua Sama akiwa katika jukwaa akionyesha umahiri wake wa sauti nzuri mbele ya jukwaa

Msanii Juma "JUX" Akiwa amepamba jukaa na style ya kipekee ya uimbaji.


Msami akiwa na madansa wake mbele ya mashabiki wakionyesha umahir wa kucheza na kuimba.



Mama wa Benny Paul naye hakupenda kubaki nyuma kwani na yeye aliweza kumleta ,toto wake Ben Paul kwenye Fiesta 2016.



Rayvany akiwa katika Pozi backstage.








Chid Benzi akiwa jukwaani akitoa vionjo baada ya kutokea kama ya suprise kwa mashabiki wake kwenye Fiesta


Dogo Janja akiwaa kwenye jukwaa 







Msanii TEKNO kutokea nigeria akifanya yake jukwaani

 Benny Paul akifanya yake jukwanii.


Abby Skills, Baraka de prince na alikiba pia walifanya show ya nguvu.




Yemi Alade wa Nigeria naye alifanya show ya nguvu kwenye stage.


SOMA HAPA===>NAY ATABIRIWA KUWA MSANII TAJIRI KULIKO WENGINE TANZANIA BAADA YA MWAKA MMJA
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :