
Mimi ni mmoja kati ya wanaopenda kuwa na sehemu nzuri za kuishi, hata kama sitoweza kuwa na nyumba kama hii lakini sababu napenda vitu vizuri, ninapotazama nyumba kama hizi napata idea chache za kuhamishia kwangu…. haijalishi inaweza hata kuwa mpangilio wa sebule, makochi, bafu, madirisha, sakafu, kitanda au chochote kingine.
Hii nyumba ipo Texas Marekani.


Katika zote za leo hii nyumba namba 1 ndio nimeipenda zaidi.
Picha zinazofata hapa chini ni nyumba zilizopo California Marekani na Slovakia.
Nyumba ya mwisho inayofata hapa chini ipo Tel Aviv Israel.

Hii ni moja ya sehemu zilizonivutia sana kwenye hii nyumba ya Israel, taa huwa zinanogesha sana nyumba

Kipisi kingine kilichonivutia zaidi kwenye hii nyumba ya Israel.
Nyumba ipi imekuvutia zaidi mtu wangu? kama uko na mimi naomba uniachie comment yako