PICHA 10 ZA KWANZA ZA AJALI MBAYA YA LEO RUNGWE/MBEYA!!
GARI YA AINA YA COSTA T 399 AUD ILIYOGONGWA KWA NYUMA NA KISHA KUPINDUKA ENEO LA KANYEGELE UWANJA WA NDEGE WILAYANI RUNGWE |
HUU NI UPANDE WA NYUMA WA COSTA HIYO |
BAADHI YA WASIO WASAMARIA WEMA WAKITAFUTA FEDHA ZILIZODONDOKA KUTOKA KATIKA BASI HILO HATA HIVYO VIJANA HAO WALIZOMEWA NA WANANCHI WALIOFIKA KUTOA MSAADA |
HILI NDILO ROLI LILILO IGONGA COSTA KWA NYUMBA NA KUSABABISHA AJALI HIYO NAMBARI YA ROLI T 712 CZC NA TERA LENYE NAMBALI T 444 CCZ LIKIWA NA SHEHENA YA MBOLEA |
MOJA KATI YA MAJERUHI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU |
BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI HUDUMA |
BAADHI YA NDUGU WAKISUBIRIA KUWAONA NDUGU ZAO WALIOPATA AJALI |
BAADHI YA WAGONJWA WAKISAFIRISHWA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA |
KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA RUNGWE ILIPOTEMBELEA MAJERUHI WALIOPATA AJALI |