Propellerads

Friday, October 14, 2016

mpoma

HABARI ZA KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO HIZI HAPA

PropelleradsKijana Aliyetobolewa Macho Apewa Mtaji wa Sh Milioni 10               

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa taarifa ya Said aliyetobolewa macho baada ya kupatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Dar es Salaam, Tanzania. Taarifa zinaeleza kwamba LEO Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imempatia Sh. Milioni 10, Said Ally Mrisho aliyevamiwa na kutobolewa macho ikiwa ni mtaji katika biashara ambayo atamua kuianzisha na kuisimamia.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hayo LEO wakati akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya uchunguzi baada ya Said kuanza kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Majibu ya hospitali hiyo yameonyesha Saidi Mrisho aliyejeruhiwa kwa kutobolewa macho Buguruni hatoweza kuona tena katika maisha yake.
“Naomba wananchi wengine wataoguswa na tukio la Said kutobolewa macho wamsaidie. Tutatoa utaratibu maalumu jinsi watu watakavyoshiki kuchangia,” amesema Makonda Leo
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :