Propellerads

Thursday, October 13, 2016

mpoma

KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO ALIVYOKUWA MHIMBILI

PropelleradsAliyetobolewa macho Buguruni Sheli apelekwa Muhimbili

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Jumapili hii aliahidi kumkutanisha Said Ally aliyepoteza uwezo wake wa kuona Buguruni Sheli jijini Dar es salaam, na leo hii amemkutanisha na madaktari wa Muhimbili.

Said Ally amechukuliwa Jumatano hii nyumbani kwake na gari ya mkuu wa mkoa na kupelekwa moja kwa moja katika hospitali hiyo.

Makonda ameandika kwenye Instagram, “Nawashukuru madaktari bingwa kutoka hospitali ya Muhimbili, kwa kazi kubwa wanayoifanya kumsaidia ndugu yangu Said Ally Mrisho apate kuona tena, nawaomba tuendelee kumuombea”, aliandika Makonda.

Mkuu huyo wa mkoa, amejitolea kumsaidia kijana huyo.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :