Propellerads

Sunday, October 9, 2016

mpoma

TAMASHA LA ANGEL BERNARD LAFANYIKA LEO JUMAPILI VCCT MBEZI BEACH

Propellerads

TAMASHA LA ANGEL BENARD “IT’S ON” KUFANYIKA JUMAPILI HII, 9/10/2016. VCCT MBEZI BEACH.

     
Mwimbaji mahiri  wa nyimbo  za Injili Tanzania Angel Benard anakukukaribisha kwenye tamasha  la kusifu na kuabudu lijulikanalo kama IT’S ON litakalofanyika jumapili hii katika kanisa la VCCT, Mbezi beach kuanzia saa tisa mchana na kuendelea kwa kiingilio cha Tsh. 5000/- tu.
Angel Benard atasindikizwa na waimbaji mbalimbali akiwemo Paul Clement,Bomby Johnson,Rivers of joy,DoxaMusic,Robert,SMG International na Gwamaka.
Tafadhali mkaribishe na mwingine ili naye aje kupata baraka za tamasha hili Takatifu.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu tamasha hili au kama unahitaji kufanya kazi na mwimbaji Angel Benard wasiliana naye kupitia






KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :