Propellerads

Monday, October 10, 2016

mpoma

TAMASHA LA IT'S ON LA NGEL BERNARD LILILOFANYIKA JANA

Propellerads





HABARI PICHA ZA TAMASHA LA IT’S ON LA ANGEL BENARD LILIVYOFANA NDANI YA VCCT,DAR. Sanga Rulea 12:05 AM 0 Jumapili ya jana,Oktoba 9 katika kanisa la Victory Christian Center Tabarnacle mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Tanzania Angel Benard aliweka alama nyingine katika jiji la Dar kupitia tamasha lake la IT’S ON ambapo ni mwendelezo wa ziara zake za nchi nzima za kuwakusanya wana wa Mungu na kuabudu pamoja. Katika tamasha hilo lililokuwa na mguso wa kipekee halikudhirihisha tu kipawa alichokirimiwa Angel Benard lakini kibali na mafuta ambayo Mungu ameweka ndani yake.Watu walijtokeza kwa wingi kumsifu na kumwabudu Mungu pamoja na Angel ambaye alisindikizwa na waimbaji wengi kama The rivers of Joy,Elly Joh,Paul Clement,Bomby Johnson,Robert,The Doxaz,Goodluck Gozbert na wengineo. Tamasha hilo lililoanza mishale ya saa tisa lilifunguliwa na sifa na kuabudu kutoka kwa The Rivers of Joy kutoka VCCT na baadaye kuafatiwa na Gospel rapper Elly Joh kutoka Borne Kingz Elly Joh akihudumu Baadhi ya watu waliohudhuria tamasha hilo Baada ya Elly Joh,Robert naye akapanda madhabauni kuhudumu Ikafika zamu ya The Doxaz kumwadhimisha Bwana.. Baada ya The Doxaz,Mchungaji Sam akasimama kusema machache na kuomba pamoja na watu Baada ya hapo,Bomby Johnson akapanda kuendeleza wingu la kusifu na kuabudu Bomby akamwachia Kijiti Paul Clement.. Ukawadia muda wa kumpandisha Angel Benard kwenye stage.Mc Fred Msungu ndio ilikuwa kazi yake Kwa staili ya aina yake Angel Benard na timu yake wakapanda na kubadilisha kabisa hali ya hewa Outifits za Angel pia zilikuwa gumzo iwa wahudhuriaji Angel ,uongozi wake na kamati ya maandalizi nao wakapata muda wa kutoa shukrani zao



KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :