Propellerads

Wednesday, October 5, 2016

mpoma

UHARIBIFU WA MVUA KWENYE BARABARA YA KILEMA

PropelleradsUHARIBIFU WA MVUA KWENYE BARABARA YA KILEMA



Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia akitizama barabara ya kuelekea Hospitali ya wilaya, Kilema Hospital namna ambavyo imeharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Wanafunzi katika shule iliyo jirani na barabara hiyo wakitizama sehemu ya korongo lililopo katika barabara hiyo ambayo ni tegemeo kwa Chuo cha Ualimu Mandaka, Seminari ya St. James, shule za sekondari pamoja na msingi.




Baaadhi ya madreva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wakipita katika barabara hiyo ambapo kwa sasa nauli ya kupandisha abiria kwenda Hospitali ya wilaya ya Moshi, Kilema imepanda kutoka kiasi cha sh 3000 hadi 6000.


Moja ya magari yanayotumia barabara hiyo likijaribu kupita katika barabara hiyo ambayo imeharibika vibaya kutokana na maji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.


Sehemu ya barabara hiyo likionekana korongo ambalo limeanza kumegwa na maji na kuhatarisha kukatika kwa mawasiliano katika baina ya vijiji 12 ambavyo wakazi wake wanatumia barabara hiyo.




















































































































KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :