Propellerads

Thursday, November 10, 2016

mpoma

MAJINA YA WASANII WATAKAOWANIA TUZO ZA EATV 2016 HAYA HAPA

Propellerads



Awamu ya kwanza ya kutaja majina ya wasanii watakaowania tuzo za EATV kwa mwaka huu wa kwanza yametajwa Jumanne hii.
EATV AWARDS 2016
Kwa kuanzia yametajwa majina ya wasanii kutoka katika vipengele viwili kati ya kumi vilivyopo kwenye tuzo hizo huku zoezi hilo likitarajiwa kufanyika kwa siku nne ambapo litakamilika Ijumaa hii ya Novemba 11.

Hii ni orodha ya wasanii waliotajwa kwenye vipengele hivyo.

Mwanamuziki bora chipukizi

Man Fongo
Feza Kessy
Ruky Baby
Mayunga
Bright

Muigizaji bora wa kiume
Saidi Ali – Ndugu wa mume
Meya Shabani – Profile
Daudi Tairo (Duma) –
Salim Ahmed (Gabo) – Safari ya Gwalu
Dotto Matotora – Likwacha Lala
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :