Matokeo hayo yameonyesha Chama Cha Mapinduzi kimepata kura 28,000 ambayo ni sawa na ushindi wa asilimia 86.61,Chadema imepata kura 2,544 ambayo sawa na asilimia 10.58,Chama cha Cuf kimepata kura 476 ambayo sawa na asilimia 1.98.
Vingine ni Chama cha Afp ambacho kimepata kura 186 ambayo ni sawa na asilimia 0.59 na Chama cha Nra ambacho kimepata kura 60 ambayo sawa na asilimia 0.25.
Bonyeza play kusikiliza idadi ya watu waliopiga kura na kasoro zilizojitokeza kwenye