Propellerads

Saturday, November 5, 2016

mpoma

SISTER DUU ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA MCHANA WA LEO AKIELEKEA ETHIOPIA

Propellerads

Mama mmoja  wa  kinigeria   amekamatwa na madawa ya  kulevya  mchana  huu  katika uwanja wa ndege wa JNIA  akijaribu  "kum-bypass "  Dr.Mwakyembe. 

Mwana  mama  huyo aliyetambuliwa  kwa  jina  la  Ojo Athnonie  alikuwa  amevaa   bai bui kwa juu na kufunika sura yake  yote.....

Taarifa  zinaarifu  kwamba  mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko  chini ya  ulinzi  mkali wa polisi .....

Kwa mujibu wa StarTV, mwanamke  huyo anadaiwa  kutumia  ubunifu  wa  ziada kwa  kanunua  powder za johnson kubwa na  kuzikata  kwa juu na  kisha  kuweka  kete  99  ambazo  zote  zimenaswa.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :