WEMA SEPETU AMPA PONGEZI DIAMOND PLATNUMZ HUKU AKIMPIGA DONGO HILI HAPA
Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku.
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz
Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.
Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongezaDiamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongezaDiamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Katika post hiyo Wema ameandika "Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa...Utasema sio wa Tandale Congrats once again...!!"
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz