Propellerads

Saturday, December 3, 2016

mpoma

Picha zilizovuja ikidaiwa ni ndege mpya za Air Tanzania

Propellerads

Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuwa mapema mwezi September Serikali itanunua ndege mbili kubwa aina ya Bombardier Q400 kutoka nchini Canada ili kuweza kulipa uhai shirika la ndege la Tanzania (ATCL).
Ikiwa zimebaki siku kadhaa itimie ahadi ya Rais Magufuli hizi ni picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii lakini bado tunaendelea kutafuta mamlaka husika kuthibitisha lakini pia kujua taarifa zaidi kuhusiana na ndege hizo mpya.
ATCL IMG-20160823-WA0019 IMG-20160823-WA0017
ATCL 2
ULIKOSA HAYA YA KUFAHAMU KUHUSU KUPANGISHA NYUMBA DODOMA, KUNUNUA VIWANJA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :