MKUNAZI NA UCHAWI ( JUJUBE TREE REPEL SPIRIT AND WITCH )
Amini ndg yangu, unapoongelea mti wa MKUNAZI basi unaongelea ule mti ambao Allah ameuita SIDRAT L MUNTAHA, yaani mti unao maliza mambo yote, au mwisho wa mambo,
WAKRISTO wakauita mti wa uzima, japo mkiristo hajui mti wa uzima ni mti gani, ila kwa taarifa mti huo ni MKUNAZI.
KWANIN MAJINI NA WACHAWI HAWAPEND MTI HUU ?
mti huu huwa unapendwa sana kukaliwa na malaika wakubwa kama RAUQAYAAIL,SAMSAMAAIL,GHANAAIL,ISRAHAMAAIL,DARDAAIL nk.
hivyo majini wote waasi na wachawi huwa wanapofika mahali penye mti wa mkunazi hawawezi kukaa wala kusimama mahala hapo.
na ndiyo maana mkunazi unapo kuwepo basi katika nyumba hiyo huwa hafiki mchawiwala shetani. tibazakisunna.blogspot.com
FAIDA YA MKUNAZI
tibazakissuna.blogspot.com
mkunazi una faida nyingi sana
1) majani yake ukiloweka na kuogea iwapo utasomea aya za qur aan basi utaepukwa na kukaliwa mbali majini aina 10 wakorofi ambao ni
1) jalwush,
2) ummu muldami
3) ankis
4) ghaughaan
5) bedui bidwaan
6) makata wa makatani
7) maymuna l hind'
9) zawaabil
10) atruush
majini hao kamwe hawata mdhuru tena mtu iwapo atafanyia kisomo maalum cha KHAWAATIMU katika maji yaliyo lowekwa majani ya mkunazi.
pia majani ya mkunazi iwapi unaumwa KIFUA SUGU lakini si pumu, chemsha pamoja na ndimu kisha unywe kwa siku 14 utapona,
kama UNAWANGIWA au kutembelewa na wachawi mara kwa mara basi chukua MAJANI YA MKUNAZI kisha weka HAIJALI na FAYJALI loweka pamoja na usomee kisomo cha KHAWAATIMU, kisha umwage ndani ya nyumba au shamba na wachawi hawatokujia tena kukudhuru. ndg mkunazi una mambo mengi sana ambapo ukiwa nao unaweza kufungua clinick kwa kutumia majani ya mkunazi tu. tibazakissuna.blogspot.com
Tabia ya mti huu ni ajabu sana kama ulivyo mti wa MZAYTUNI,mtu mwenye roho mbaya akipanda basi mti huu hauoti
na mchawi akipita katika eneo lenye mti huo, basi ajue mtukuta asubuhi, na HATOONDOKA mpaka wachawi wenzake waje wamlipishe faini, na vipi utamgundua mchawi aliye naswa katika nyumba iliyo fanyiwa kisomo cha khawaatimu kwa majani ya mkunazi?. utamkuta akiwa katika umbo la paka mweusi au nyoka aina ya cobra
unapo hitaji kujua zaidi basi tembelea blog yangu tibazakissuna.blogspot.com
utapata mengi.