Propellerads

Monday, January 9, 2017

mpoma

LAURENT VOCATIONAL TRAINING CENTRE

Propellerads

LAURENT VOCATIONAL TRAINING CENTRE



LAURENT VOCATIONAL TRAINING CENTER
CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI.
NI CHUO CHA KISASA NA KINACHO MILIKIWA NA MAMLAKA YA MAFUNZO NA UFUNDI STADI ( VETA).

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA FANI ZIFUATAZO KWA MWAKA 2017.

KOZI NDEFU
1.INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY  (ICT)
2.TAILORING COURSE  (USHONAJI)

KWA WALE WANAOHITAJI KOZI FUPI ZIPO.KWA GHARAMA NAFUU TU.
1. COMPUTER APPLICATION----- MWEZI MMOJA NA WIKI MOJA-------120,000/=
2.COMPUTER PROGRAMS...........MIEZI 3.      ........150,000/=
3.UFUNDI WA KOMPYUTA..........MIEZI  3................150,000/=
4. USHONAJI...................................MIEZI   3.............300,000/=

WAHUSIKA :DSRS LA SABA, WAHITIMU KIDATO CHA NNE NA WENGINEO.

FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI AU PIGA: 0763652896

SIFA ZA CHUO
1. NI CHUO CHA UHAKIKA KATIKA UTOAJI MAFUNZO
2.KINA VIFAA VYA KUTOSHA KWA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA
3. KWA WALE WANAOTOKA MBALI MIKOANI NA NJE YA SINGIDA NJINI HOSTEL (MALAZI) NI BURE KAZI KWAKO NI KUSOMA TU.
4.CHUO KINAPOKEA WANAFUNZI WA JINSIA ZOTE NA DINI ZOTE.
5. CHUO KINA WALIMU WENYE SIFA NA WAKUTOSHA.

BAADHI NI PICHA ZINAZOONYESHA MAZINGIRA YA CHUO.











LAURENT VTC NDIO JIBU LAKO SASA.
WAHI NAFASI NI CHACHE.
FIKA CHUONI AU PIGA: 0763652896 KUPATA FOMU YA KUJIUNGA.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :