Propellerads

Saturday, September 17, 2016

mpoma

AJALI MBAYA IRINGA YAUA WATU 42

PropelleradsAJALI MBAYA SANA IRINGA YAUA WATU 42



    

Mwenyekiti wa kamati ya  usalama  barabarani mkoa  wa Iringa  Salim Asas  (kulia )  akimtazama mmoja kati ya majeruhi  22  waliolazwa katika  Hospitali ya  wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa ambao  walipata ajali  mbaya baada ya  basi la majinja lenye namba za usajili T348 CDE kugongana na lori na  kufunikwa na kontena lake jana eneo la Changalawe nje  kidogo ya  mji  wa Mafinga ,katika ajali  hiyo  watu 42  walifariki  dunia
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  wa  pili kulia akiwa na  viongozi  mbali mbali  wa  tatu ni kamanda  wa polisi mkoa wa Iringa  Ramadhan Mungi , akifuatiwa na mwenyekiti wakamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa  Salim Asas na mkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita jana  walipofika  eneo la  ajali iliyoua 42 na kujeruhi 22


basi  likiwa limefunikwa na kontena la Lori
       

KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :