Binti wa Donald Trump agwaya maswali mazito ya mwanahabari

BINTI wa Donald Trump, mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Ivanka Trump, amelazimika kusitisha mahojiano na gazeti la Cosmopolitan linalochapwa baada ya kuulizwa maswali magumu. Maswali hayo yanahusu kauli mbalimbali za baba yake huyo alizowahi kutamka kuhusu masuala ya afya ya