HABARI LEO
Kwa habari mbalimbali usikose nakala yako ya Habarileo Septemba 10.
Sheria uhalali wa mtoto yaja
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wa Mwaka 2016, ambao pamoja na mambo mengine utaiwezesha maabara hiyo kufanya uchunguzi unaohusisha matumizi ya teknolojia ya vinasaba, ikiwamo uhalali wa mzazi kwa mtoto.
Soma zaidi:
...
Soma zaidi:
...
