Makamu wa rais mgeni rasmi tuzo za bidhaa bora
Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wanatarajia kuzindua kampuni ya fahari ya Tanzania ambayo itakwenda sanjari na utoaji wa tuzo wa bidhaa 50 bora zinazozalishwa nchini....