

Arsene Wenger na Jose Mourinho bado wanaonekana kuwa na bifu zito baada ya kuzua tafrani kwenye mkutano wa UEFA maalum kwaajili ya makocha wa timu mbalimbali wenye mafanikio makubwa uliofanyika wiki iliyopita. Gazeti la michezo la Marca kutoka nchini Uhispania limeripoti kuwa Wenger alikataa kuruhusu Mourinho akae mbele yake wakati Sir Alex Ferguson akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo huko Nyon. Akiwa amewasili kwenye mkutano huo kwa kuchelewa, meneja huyo wa Manchester United aliuliza kama angeweza kukaa kwenye moja ya baadhi ya siti zilizokuwa wazi na hapo ndipo Wenger...
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
