
Uzinduzi wa Wiki ya Maji wa Bara la Afrika Uliofanyika Nchini Tanzania, Julai 18, 2016
Aliyekuwa Rais wa AMCOW ambaye pia ni Waziri wa Maji kutoka Senegal, Amadou Mansour Faye akiongea na wajumbe wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho ya Sita wa Wiki ya Maji ya Afrika, ambapo alisema kuwa wajumbe wanawajibu wa kujadili na kubadilishana uzoefu wakati wa mkutano na baada ya mkutano kwa manufaa ya wananchi wa nchi wanazoziwakilisha.
