Ni vyema kabisa kwa mmoja wa viongozi wa ngazi za juu kama Mh Waziri Mkuu Majaliwa kufika huko na kuonyesha kuwa Serikali chini ya Rais JPM inawajali.
Na inaungana nao katika huzuni ya janga hili, na kufika kwake Kagera inaonyesha moyo kuwajulia hali na kujionea mwenyewe madhara yaliyotokea ili kutafuta ni namna gani wananchi hawa wanaweza kusaidiwa.
Pia agizo lake la kutuma Kamati ya idara ya MAAFA (DMD) iliyoko chini ya ofisi yake kwenda kuzunguka ili kufanya tathmini ya MADHARA na kutoa ushauri ama mapendekezo nini kifanywe ni jambo la busara sana!
Pengine serikali inaweza kushirikisha wananchi katika hili maana sidhani serikali inaweza kubeba mzigo wote peke yake.
Kwa mfano mambo kama kufyatua matofali ya kuchoma ili kabla ya msimu wa mvua nyumba zilizoharibika ama kuta zilizobomoka ziwe zimejengwa.Badala ya kungoja serikali ifanye kila kitu!
Pia Waziri wa AFYA. Mh Ms Ummy ingekuwa ni vizuri aende huko in person kuona nini kinahitajika katika mambo ya
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.