Diamond Platnumz Kazinyakua Tuzo Nyingine Kubwa Usiku wa Jana
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa
sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda.
Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana.





