Mama Getrude Rwakatale chini ya kanisa lake la Mikocheni B Assemlies of God leo amewatoa wafungwa 12 waliokuwa wamefungwa katika gereza la Keko.
Mchungaji Rwakatale amesema kuwa amewatoa wafungwa wanao daiwa kiasi kidogo chafedha ili warudi uraiani kuendelea na shughuli za kujenga taifa. maana kukaa gerezani kunapoteza nguvukazi.
Waumini wa kanisa lake wamechangia takribani milioni 25 kwa ajili ya kuwato awafungwa 78 katika awamu hio ya kwanza na baadae kanisa litaendeleza zoezi hilo.
Baada ya keko wanampango wa kwenda Ukonga ili kuwatoa wafungwa wengine.