ANGALIA :BAADHI YA WATOTO WA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KILICHOPO SINGIDA MJINI
ILIKUWA NI ZIARA YA MKUU WA CHUO CHA LAURENT COMPUTER CENTRE KILICHOPO SINGIDA MJINI (LAURENT E. MPOMA) ALIKUWA AMEAMBATANA NA WANACHUO WA CHUO HICHO.
MKUU WA CHUO CHA LAURENT COMPUTER CENTRE AKIWA KATIKA KITUO CHA MALEZI KITITIMO SINGIDA MJINI . AKIFANYA ZIARA YA KUWATEMBELEA WATOTO HAO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
WANACHUO CHA LAURENT COMPUTER CENTRE WAKIWA NA WATOTO WA KITUO CHA MALEZI KITITIMO SINGIDA MJINI WAKIWAFARJI WATOTO
MLEZI (MADAM) WA WATOTO HAO KATIKA KITUO CHA MALEZI KITITIMO ,AKIWA NA MKUU WA CHUO CHA LAURENT COMPUTER CENTRE, NA MWANACHUO WA CHUO HICHO.
WATOTO NA WANACHUO KATIKA PICHA YA PAMOJA KATIKA KITUO CHA MALEZI KITITIMO SINGIDA MJINI
WANACHUO WA CHUO HICHO WAKIWA KATIKA MAZINGIRA YA MALEZI KITITIMO KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.