Propellerads

Sunday, November 6, 2016

mpoma

TANZIA: UNDANI WA TAARIFA YA MSICHANA HUYU ALIYEBAKWA HADI KUFA NA KUTELEKEZWA MAKUMIRA UNIVERSITY-ARUSHA

Propellerads

post-feature-image

TANZIA: UNDANI WA TAARIFA YA MSICHANA HUYU ALIYEBAKWA HADI KUFA NA KUTELEKEZWA MAKUMIRA UNIVERSITY-ARUSHA


                                             Mapema jana zimesambaa Picha kwenye Mitandao ya ki...

                                            
Mapema jana zimesambaa Picha kwenye Mitandao ya kijamii ikimuonyesha Msichana anayefahamika kwa jina la JULIANA ISAWAFO Ambaye Amebakwa hadi Kufa na Kutupwa Nje ya eneo la Chuo Kikuu cha Tumaini (Makumira Arusha).
                                                  
Bongohotz imeongea na mmoja wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo amethibitisha kwamba ni kweli Ameokotwa Msichana huyo Majira ya Saa tano asubuhi ya Leo akiwa Amekufa na mwili wake Kutelekezwa kwenye Shamba la Mpunga hatua chache nje ya Eneo la Chuo.

Hata hivyo Amenithibitishia kwamba Msichana huyo ni Mwanafamilia wa Chuo cha Makumira ila sio Mwanafunzi rasmi kama watu wanavyodai.

Anasema Msichana huyo alikuwa akiishi ndani ya eneo la Chuo kwa Mzungu mmoja ambaye ni mmoja wa waalimu wa Sanaa Chuoni hapo.
                                                     
Hata hivyo hakusita kuweka wazi kwamba Wanasikitika sana Kwa Tukio hilo kwani Msichana huyo alikuwa kama Dancer wa Matamasha ya Chuo cha Makumira.

SOMA HAPA==>MADINI MAPYA YAGUNDULIWA HUKO MAREKANI NA KUPEWA JINA
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :