Propellerads

Sunday, November 6, 2016

mpoma

WCB WAKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA SALOME NA KUSEMA ALIE KUFA SIO SALOME WAO.

Propellerads

post-feature-image

WCB WAKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA SALOME NA KUSEMA ALIE KUFA SIO SALOME WAO.

Ndugu zangu hiyo issue iko serious na huyo Dada ambae apo kavaagauni nyekundu apo (A) Ni kweli ana...

Ndugu zangu hiyo issue iko serious na huyo Dada ambae apo kavaagauni nyekundu apo (A) Ni kweli anaitwa Juliana lakini sie huyo wa diamond hapo.(B) ni watu wawili tofauti kabisa Kama unavyo ona apo uyu (A) ndio kauwawa... Hiyo rasta ilikuwa sare na wenzie Jana ili leo waende mahala kwa ajili ya show flani..pia alikua Ana soma tumaini University of makumira. 

Alikuwa anakaa mle mle ndani chuo alikuwa anakaa na mmarekani flani ndo alikuwa akimlea kama mwanae a manage huyo mmarekani ni Mwalimu pale.. Sasa wenzie walikuawanamngoja jana asubuhi saa 5 ndo watu wamepeleka taarifa baada ya kukutwa katupwa hivyo....NA sio yule video queen wa Salome Kama wasimavyo watu sio kabisa ao ni watu wawili tofauti kabisa...
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :