Je, unajua kama kufunga ni moja kati ya zoezi linaloimarisha afya ya ubongo wako?
Wakati ndugu zetu waislamu duniani kote wakifunga mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, basi nimeona sio haba kama tutafahamishana mambo kadha wa kadha juu ya kufunga.duniani kote na dini zote zinahamasisha kufunga,...
Read more: http://www.vitukovyamtaani.com/#ixzz4LlCgAwgp