Diamond na Ali Kiba wakiwa Afrika Kusini kwa ajili ya tuzo za MTV MAMA 2016
Leo Oktoba 22 usiku zitatolewa tuzo za MTV MAMA hafla itakayofanyika katika Jiji laJohannesburg nchini Afrika Kusini.
Tanzania imewakilishwa na wasanii wengi akiwemo Diamond Platnumz na Ali Kiba ambao licha ya kuwa wanawania tuzo za MTV MAMA 2016, lakini watatumbuiza katika hafla hiyo inayongojewa kwa hamu na mashabiki lukuki barani Afrika na nje ya Afrika.
Usiku mmoja kabla ya tuzo hizo kutolewa wasanii hupata nafasi ya kufanya mahojiano na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari na pia kufanya mazoezi kwa ajili ya ‘show’ ya zao. Hapa chini ni picha za Ali Kiba akiwa na Sauti Sol kutoka Kenya na Diamond Platnumz ndani ya tuzo hizo.
Ali Kiba na Sauti Sol wakizungumza na waandishi wa habari.
Ali Kiba, Baraka The Prince kutoka Tanzania wakiwa na Wiz Kid kutoka nchini Nigeria.
Diamond Platnumz akifanya mazoezi ya mwisho kabla hajatumbuiza katika tamasha la utoaji tuzo za MTV MAMA leo usiku.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.