Propellerads

Wednesday, October 19, 2016

mpoma

KAMA NI MZIMA MSHUKRU MUNGU. ONA HII AJALI ILIYOTOKEA LEO

PropelleradsAjali ya Toyota Costa na Lori yaua watu 10, Mbeya


Gari aina ya Costa lenye namba za usajili T 886 BDZ. likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali mbaya na kuua watu zaidi ya 10 katika mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya leo.
  
Wananchi wakilishangaa gari aina ya Costa lililoharibika vibaya baada ya kupinduka na kuua zaidi ya watu 10, eneo la Mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya leo.


Lori lililosababisha ajali ya Costa na kuua watu zaidi ya 10, likiwa limepinduka eneo la mlima Mzalendo Igawiro jijini Mbeya leo.



Baadhi ya wananchi waliofika katika tukio la gari aina ya Costa lililopinduka na kuua zaidi ya watu 10 na  kuharibika vibaya eneo la Mlima Mzalendo, Igawilo jijini Mbeya, wakiangalia ajali hiyo leo.


Askari Polisi, akichukua maelezo ya gari la Lori lililosababisha kupinduka kwa gari aina ya Toyota  Costa, kufuatia ajali hiyo, iliyoua abiria zaidi ya 10 katika Mlima Mzalendo Igawilo jijini Mbeya leo. (Picha zote na Venance Matinya)
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :