Mheshimiwa Raisi katika kuzuia viongozi mbalimbali wa mikoa, wilaya na taasisi kuhudhuria siku kilele cha cha mbio za mwenge wa Uhuru kunakoenda sambamba na kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa hili, Hayati Mwalimu Nyerere, aliagiza kuwa viongozi hao wabuni njia/shughuli mbalimbali za kuadhimisha siku hii katika maeneo yao.
Waungwana husema uongozi ni kuonesha njia.
Najiuliza kauli hii ya Mheshimiwa Raisi imetekelezwaje na Ofisi, Taasisi yake
Kwa vyovyote vile, kWa uzito wa tukio la Leo na kwa jinsi watawala wa Nchii hii wanavyojinasibu kuwa wanamuenzi Mwalimu kwa vitendo, haikutarajiwa maadhimisho haya kukosa involvement au tukio lolote toka Magogoni.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.
OMG!!!! SECONDARY Teacher Caught Banging Student In Middle Of Classroom On
Snapcha
-
Some serious extra credit going on at this school…
Another teacher busted, this time, there is video proof! A 30-second clip
shows the man humping away on ...
7 years ago