Operesheni Safisha Wenye Vyeti Feki Serikalini Yaja Mwezi Februari Mwakani
Nchi kwa sasa inakabiliwa na tatizo la kuzagaa kwa vyeti bandia, Hili nalo ni jipu kubwa sana ambalo ni pacha wake ufisadi na sembe!
Sasa kuna tetesi kuwa Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani.
Hii kwa wale ninaowapenda kama una ndugu ameingia Serikalini na vyeti feki mwezi Februari aombe likizo sombasomba inakuja isikuaibishe.