LAURENT COMPUTER AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (LCC & ICT)
NI CHUO CHA KISASA, AMBACHO KIMESAJILIWA NA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA)
CHUO KINA MAZINGIRA SAFI YA KUJIFUNZIA NA KUJISOMEA.
CHUO KILIKUWA CHA KWANZA MWAKA KATIKA MTIHANI WA VETA KIMKOA.
CHUO KINATOA HUDUMA YA MALAZI BURE KWA WANAOTOKA MBALI.
CHUO KINAPOKEA WANAFUNZI WA DINI ZOTE NA KUJALI HITIKADI ZA KILA DINI.
CHUO KINATOA MAFUNZO KATIKA FANI ZIFUATAZO HADI KUFANYA MITIHANI YA VETA NA KUPATIWA VYETI VYA VETA.
LONG CORSE (KOZI NDEFU)
1: INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT)
2:TAILORING COURSE
KOZI FUPI..........MIEZI 2, 3 6
1.COMPUTER APPLICATION ..........MWEZI MMOJA NA WIKI MOJA
2.COMPUTER APPLICATION ..........MIEZI 2
3.COMPUTER APPLICATION...........MIEZI 3
4.COMPUTER MAINTANANCE NAD REPAIR..............MIEZI 3
5.ENGLISH COURSE ......................MIEZI 3
6.TYPING .......................................MIEZI 3
FIKA CHUONI KUJAZA FOMU /PIGA SIMU 0763652896,0782859946,0714890889
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.