Mbunge wa jimbo la Hai,Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili 2/10/2016 ameshiriki ibada ya shukrani ya Bw. Clement Onasaa Mbowe ambae amepona ajali ya kuvamiwa na majambazi.
Ibada imefanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Nshara,Dayosisi ya Kaskazini, misa hii pia imehudhuriwa na RPC wa Mkoa wa Kilimanjaro,Bw. Wilbroad Mutafungwa.
Ibada imeongozwa na Askofu Mstaafu Martin Shao.

KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.